Danny Welbeck akishangilia goli aliloifungia timu yake jana Old Trafford
Wayne Rooney akiifungia timu yake Goli la tatu kwa kichwa safi kabisa katika mchezo waliocheza na Tottenham uliomalizika kwa 3-0
Mabingwa wa tetezi jana iliikung'uta Tottenham 3-0 katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa Old Traford , katika mechi hiyo ambapo hadi kipindi cha kwanza kinaisha walikuwa bila bila lakini katika kipindi cha pili Man united walikuja na nguvu mpya nakupata jumla ya magoli matatu goli kupitia wachezaji wake Danny Welbeck, Anderson na Wayne Rooney, Ushindi huo umeipandisha Manchester United kwenye kilele cha msimamo wa ligi ikipambana na mahasimu wao Manchester City.
No comments:
Post a Comment